
Gari ya TANAPA ilivyozama leo hii baada ya mvua kubwa kunyesha mkoani Morogoro
Leo hii mkoani Morogoro mvua kubwa ilinyesha na kuleta athari ya uharibifu wa mali mbalimbali,
Mvua hiyo iliyonyesha kwa muda mrefu ilisababisha vyombo vya usafiri kushindwa kufanya shuguli zake kwa muda naada ya gari zingine kuzimika barabarani na nyingine kuzama mitaroni
Katika eneo la soko kuu la mooa wa Morogoro baadhi ya wafanya biashara wamelalamikia miundo mbinu mibovu katika soko hilo na kusababisha upotevu wa mali zao kufuatia mvua kubwa ya leo hii

Baadhi ya wananchi wakitoa misaada kwa vuombo vya usafiri



Bodaboda ilisombwa na maji hapa wasamalia wemawakiiokoa


0 MAONI YAKO:
Post a Comment