December 30, 2014

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.

Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.

"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.

"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.

Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza ni kiasi gani, halafu ataanza safari ya kurejea kwao Zambia.

"Nikimalizana nao kuhusiana na malipo yangu, nitajua lini ninakwenda nyumbani," alisema Phiri.

Related Posts:

  • Tp Mazembe yasajili watatu    Kikosi cha TP Mazembe cha Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo  Timu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo imewasajili wachezaji watatu wapya toka kwenye timu ya taifa ya Ivory Coast. Nyota … Read More
  • Mchinjaji wa IS 'Jihadi John' atambuliwa   Bwana huyo ambaye taswira yake akiwachinja mateka kwa kisu bila huruma ndiyo nembo ya wapiganaji hao sasa ametambuliwa kuwa anatokea Uingereza. Shirika la Habari la BBC limetambua kuwa jina lake kamili ni Moham… Read More
  • Waliomuiba Albino Pendo Wakamatwa Mwanza   Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amesema watu wote waliohusika ‘kuiba’ mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino) Pendo Emmanuel (4) katika kijiji cha Ndami wilayani Kwimba, Mwanza, wamekamatwa. … Read More
  • New Audio: Ally Kiba - Chekecha cheketua Baada ya kufanya poa ndani na nje ya Tanzania na wimbo wake wa mwana, Mwanamuziki Ally Kiba sasa amekuja na ngoma yake mpya kabisa inayoitwa Chekecha cheketua. … Read More
  • Rais Kikwete afanya uteuzi mpya    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Tume ya Utumishi wa Umma na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) atika uteuzi huo, Rais amemteua Mhe… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE