Ma bibi na ma bwana, hapa itifaki imezingatiwa, Mwanamuziki toka Manzese anayefanya poa sana nyimbo zake, hapa sasa anakupa fursa ya kutazama video yake mpya ya wimbo unaofanya poa sana kwa sasa wa AKADUMBA.
Kisha weka Comment yako hapo chini kwani Nay atapita kuchukua ushauri wako na kuufanyia kazi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment