Kampuni
ya usambazaji wa filamu nchini "Steps Entertainment" wameshusha bei ya
filamu hadi kufikia shilingi 1,500 kwa nakala moja ili kujaribu
kupambana na waharamia wa kazi za wasanii,baadhi ya wasanii
wameilalamika kampuni hiyo kwani kwa kufanya hivyo ni kuwanyonya wasanii
na kazi zao.
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment