
Taarifa tulizozipata kupitia group la PAPASO , na baadaye kuthibitishwa na Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbili amepata ajali muda mchache uliopita katika mlima wa Kitonga.

Akiongea na MACHAKU BLOG toka jijini Mbeya, MH: Mbilinyi (Sugu) amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo katika mlima wa Kitonga na kusema anashkuru Mungu wamesalimika lakini sasa wapo Hospitali kwa kutibu majeraha madogomadogo



0 MAONI YAKO:
Post a Comment