
Mtangazaji wa kipindi cha XXL Clouds Fm. Doreen a.k.a DeeAndy
siku ya jana alifunguka kupitia kipindi hicho juu ya uhusiano wake na
Rapper Godzilla.
Dee alifunguka baada ya kuulizw na watangazaji wenzke B12 na Fetty juu
ya alichokiandika kupitia acc yake ya InstaGram akim-wish happy birthday
msanii huyo ambapo aliandika

dee alisema alikutana na Zilla miaka miwili iliyopita katikia studio za Tongwe alipokuw ameenda kwaajili ya kufanya tangazo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment