January 14, 2015



jhiko poster
Kumekuwa na idadi kubwa ya Watanzania ambao wanafanya shughuli zao mbalimbali nje ya Tanzania na nje ya Afrika, wachache ambao huwa tunapata nafasi ya kuona matunda ya kazi nzuri walizozifanya huko.
Jhikoman
Jhikoman ni moja ya mastaa wenye majina makubwa kwenye muziki wa Reggae, ningependa ujue kwamba huyu ni Mtanzania ambaye amepata nafasi ya kufanya collabo na staa mkubwa duniani anayefanya muziki wa Reggae.
jhiko poster (1)
Nimekuwekea new joint ya ‘Afrika Arise’ ya Jhikoman kamshirikisha staa mwingine wa Reggae duniani, Peetah Morgan ambaye anatoka kundi la Morgan Heritage, dakika zako tatu kuisikiliza hapa.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE