Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.…
Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon.
MWANAMUZIKI
na mwigizaji Ludacris (37) sasa ni mume wa mtu, alifunga ndoa kwa siri
katika msimu wa Sikukuu za Krismasi mwaka jana. Jumanne ya wiki hii
wanandoa hao wameshare picha za harusi yao kupitia akaunti zao za
mtandao wa Instagram na kuandika maneno haya “Why wait? Did the thing before 2015. #mrandmrsrbridges” aliandika Ludacris na mke wake naye aliweka picha na kuandika “#Weddingbliss Mr. & Mrs. Bridges”.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment