Mbunge wa Jimbo la Morogoro
Mjini Mh Aziz Abood Akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
Kwenye Ofisi ya Mtendaji kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake
katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira
na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi
Milion 3 Zilizotolewa na Mbunge Huyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment