January 06, 2015


 maseju1 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimwapisha George Mcheche Maseju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es salaam.
maseju2 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipokea nyaraka na vitendea kazi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete katika hafla ya kumwapisha kuwa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali.
maseju3 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. Mohammed Gharib Bilal(kutoka kushoto)akiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Mh. Anna Mkinda, Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohammed Othman Chande,Waziri wa katiba na Sheria Dk. Asha-Rose Migiro na George Maseju wakati wakisubiri kuapishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali hapo jana katika viwanja vya ikulu jijini Dar es salaam.
maseju4 
Picha ya pamoja ya kumbukumbu ya viongozi wa juu wa Serikali na Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali.
maseju6 
Picha ya pamoja ya kumbukumbu ya wanafamilia wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali George Maseju na Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika hafla ya kumwapisha iliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es salaam hapo jana

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE