January 21, 2015

 
  Ikiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa kuwapata madiwani, wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kule Zanzibar
 Msanii nguli wa muziki wa Bongo Fleva Juma kasim Ally kiroboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la TEMEKE ambalo kwa sasa lipo chini ya MH: Abas Mtemvu .

lakn alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kelo wakazi waTEMEKE.lakn tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha wananchi CUF,lakn mh,sugu amemshaur, kugombea kupitia CHADEMA,jambo ambalo bado analifikiria.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE