January 14, 2015

Mwanamuziki Uncle G, Ameachia wimbo wake mpya kabisa aina ya Rhumba aliomshirikisha mwana dada  Dayna Nyange ambaye naye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa I DO. Katika wimbo huo uliowashangaza wengi hasa kwa upande wa Dayna ambaye ameonekana kubadilika kabisa na kuimba mziki wa Rhumba kitu ambacho ni kigumu sana kwa wasanii wengi wa ki bongo.
Skiliz ahapo chini

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE