Hii ni video mpya ya msanii kutokea Kenya, Avril iitwayo Hello Baby aliyomshirikisha Ommy Dimpoz.
Video hiyo Dimpoz na Avril wali shoot pindi Ommy alivyoenda kufanya show nchini kenya
Video hiyo ime ongozwa na director Sync na location walizo tumia ni Enashipai resort pamoja na Spa naivasha.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment