January 19, 2015

 
 Mkali wa muziki wa R&B Bongo Juma Jux, ameachia rasmi video mpya ya imbo wake Sisikii.
 Kwenye kichupa hicho uitapata kumuona mwana dada Vannesa Mdee akiwa ame appear kama video queen alie vaa uhusika wa nyimbo hiyo.Video hiyo imeongozwa na director Zeddy Benson.

           

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE