
Kamanda
wa Polisi Mkoani Tanga Imetoa Mkwara Mkali kwa Wanawake wanaojiuza
usiku katika mitaa na Kumbi mbali mbali za Starehe , Mkuu huyo wa
polisi amesema kuwa Bishara hiyo inaleta usumbufu kwa wakazi wa Mkoa huo
pia inazidi kuvunja maadili kwani kwa sasa kutokana na uchunguzi
uliofanyika mpaka watoto wadogo na wanafunzi wanajihusisha na biashara
hiyo haramu , Inasemekana mpaka wanafunzi wanao kaa shule za boarding
hutoroka usiku na kwenda kwenye kumbi mbali mbali za starehe ili
kujipatia kipato kwa kazi ya umalaya..
Kamanda huyo amesema kuwa msako huo Utaanza Muda wowote kuanzia Sasa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment