
Usiku
wa mkesha wa mwaka mpya Diamond Platnumz amefanya yake katika Vibe
Party huko jijini Kigali, Rwanda akiambatana na mpenzi wake mpya Zarinah
aka thebosslady kutoka Uganda pamoja na timu nzima ya wasafi na
mameneja wake.
ALICHOKIANDIKA Diamond dakika chache zilizopita!
Hii
ilikuwa ni Vibe Party tu ya kusalimiana jana... dah! Nawashkuru sana
Rwanda kwa Mapenzi yenu kwangu...najiuliza sjui leo kwenye show
itakuwaje pale kwenye Uwanja wa Amahoro..

(
Imagine that was jus, meet and Greet VIBE PARTY last Night... I swear
Rwanda, you guys are Amazing i can't even express how i feel for the
love that you have been showing me since i got here...i can not waiting
for the Main Show at Amahoro Stadium Today!!! )
Hizi
ni baadhi ya picha zilizochukuliwa wakati mkali huyo wa "number one"
akitokea hotel na kuelekea ukumbini. Picha zote ni kutoka katika account
ya instagram ya wasafi zikiwa zimepigwa na kifesi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment