January 03, 2015

.
                                                                 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Jakaya Mrisho Kikwete  leo Jan 3 ametuma salamu za Mwaka mpya kwa wananchi wa Tanzania.
Katika salamu hizo Rais ameandika ‘Nawatakia nyote heri na fanaka za mwaka mpya wa 2015. Tutazame yale tunayoifanyia nchi yetu kabla ya kutazama nchi yetu imetufanyia nini’aliandika”– @@jmkikwete 

Nawatakia nyote heri na fanaka za mwaka mpya wa 2015. Tutazame yale tunayoifanyia nchi yetu kabla ya kutazama nchi yetu imetufanyia nini.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE