Vanessa Mdee a.k.a Vee Money amekuwamwanamuziki wa pili Tanzania
kupata akaunti ya VEVO kwaajili ya kuweka video zake.VEVO ni mtandao
mkubwa namba mojaduniani unaohusika kuhifadhi na kurusha kazi za
wanamuziki maarufu duniani kama kina Nicki Minaj, Beyonce, Jay Z na
wengine.Gosby ndiye alikuwa msanii wa kwanza wakizazi kipya kupata
akaunti kwenye mtandao huo unaomilikiwa na kampuni kubwa za muziki
duniani Universal Music Group (UMG), Google,Sony Music Entertainment
(SME) na Abu Dhabi Media.Wanamuziki wengi wa Afrika Kusini na Nigeria
kama Mafikizolo, D’Banj tayari wana akaunti kwenye mtandao wa Vevo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment