
Mwanamuziki maarufu wa muziki wa Bongo Freva Mez B ameagwa na kuzikw leo mjini Dodoma.


Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Marehemu
Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na
marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga
Maili mbili
Mtangazi wa Citizen TV anayejulikana kwa jina la Mzazi Willy Tuva akifanya mahojiano na msanii wa Bongo Fleva Janjaro.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment