February 22, 2015

 

Aliyekuwa kiungo nyota wa Simba, Christopher Alex Massawe, amefariki dunia. 
waliosimama wa nne toka kushoto mwenye rasta ni Christopher Alex akiwa na kikosi cha simba
Alex amefariki dunia kwa mjini Dodoma ikiwa ni baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Dada wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Maembe amesema Alex amefariki dunia leo saa 3 asubuhi.
Tayari taratibu za mazishi zimeanza kufanywa na imeelezwa Alex atazikwa mjini humo.

Alijulikana kwa ubora wake katika ukabaji na kuichezesha timu. Lakini pia atakumbukwa kwa kuwa mchezaji aliyepiga penalti ya mwisho iliyoivua ubingwa Zamalek na kuipeleka Simba kucheza Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika 2003, hatua ya makundi.
  
Christopger Alex anzi za uhai wake

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE