March 30, 2015

Kitanzi cha kunyongea watu

Mahakama ya Malaysia imemkuta na hatia ya mauaji mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya wanafunzi wawili wa udaktari kutoka nchini Uingereza.Mauaji hayo yanadaiwa kufanyika August mwakajana katika kisiwa cha Borneo.

Jaji wa mahakama hiyo amesema mahakama imeidhishwa na ushahidi dhidi ya mshitakiwa na kuona anastahili adhabu. Hukumu hiyo inayomkabili Zulkipli Abdullah anadaiwa kuwaua Neil Dalton na Aidan Brunger.

Kwa mjibu wa hukumu hiyo ya mauaji, Abbdullah atanyongwa hadi kufa

Related Posts:

  • Mwanamuziki Natalie Cole afariki dunia    Natalie Cole, mwanamuziki nyota kutoka Marekani aliyeimba nyimbo maarufu kama vile Unforgettable , amefariki akiwa na umri wa miaka 65. Aiimba wimbo huo akishirikiana na babake Nat "King" Cole. Mwanamuziki… Read More
  • Hii ndiyo sababu ya Clouds Media kusema #weweninambaone Popote pale ambapo unaisikiza Clousd Fm kupitia masafa uliyopo ndani ya mkoa wako, kama  wewe ni mwanafunzi, mkulima, mfanyabiashara, mwalimu ama mwanataaluma wa fani yoyote, basi, WEWE NI NUMBER ONE,,, Hii Ni M… Read More
  • Afande Sele, mji umemshinda??  Mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Selemani Msindi (Afande sele, simba mzee) ame post picha katika ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Maandalizi ya kuhamia Shambani Kuendeleza rasmi KILIMO NA UFUG… Read More
  • Chris Brown atuhumiwa kumpiga mwanamke   Polisi katika jiji la Las Vegas, Marekani wanachunguza madai kwamba mwanamuziki mashuhuri wa R&B Chris Brown alimpiga mwanamke Jumamosi. Mwanamke huyo anadai msanii huyo alimgonga usoni alipojaribu kumpiga pi… Read More
  • KCEE,Skiibii & HARRYSONG -EBAENO   KCEE kutoka nchini Nigeria ametuwekeaVideo yake ya Ebaone akiwashirikisha Skiibi & Harrisong                    … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE