March 26, 2015

Katibu Mkuu wa CUF taifa Maalim Seif amewaasa wanachama wa cuf jimbo la Dimani kutolipiza kisasi kwa kitendo cha kuchomewa moto ofisi yao usiku wa kuamkia juzi.
Maalim Seif ambaye ni makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ameyasema hayo wakati alipoitembelea ofisi hiyo huko Dimani.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE