March 04, 2015

 
Zaidi ya watu 35 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 55 wamejeruhiwa baada ya nyumba zao kuwaangukia na kuwafunika usiku wa kuamkia leo kutokana na mvua kubwa iliyonyesha wilayani Kahama, mkoani Shinyanga
  
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya
Taarifa zilizothibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya amesema mvua hiyo kubwa iliambatana na upepo mkali, hivyo nyumba nyingi zilianguka na nyingine kuezuliwa na kuharibiwa kabisa. Bw. Mpesya amesema hadi majira ya asubuhi walikuwa wamefanikiwa kupata miili ya watu 35 waliopoteza maisha baada ya kufukua nyumba nyingi, na majeruhi wamekimbizwa hospitali ya wilaya kwa matibabu.
Mkuu huyo wa Wilaya amesema nyumba nyingi zimeanguka na zoezi la kutafuta watu waliojeruhiwa au kupoteza maisha bado linaendelea kwa kasi.

Related Posts:

  • Wafanya biashara wa Nyama Morogoro, kugoma    Picha hii ni kwa hisani ya Maktaba ya Google Baada ya kufungiwa na mamlaka ya chakula na dawa kwa machinjio ya nyama ya manispaa ya Morogoro,wachinjaji na wafanyabiashara wa Nyama katika manispaa ya … Read More
  • Magazetini leo jumamosi August 22 ya 2015 Kutoka katika chumba cha habari cha TZA jijini Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Agosti 22,2015 tayari tumeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Ma… Read More
  • Bella 'Amerudi' ni zawadi    Mfalme wa masauti staa Christian Bella amesema kuwa hivi sasa anafanya utambulisho mkubwa wa video ya wimbo 'Amerudi' na bendi yake ya Malaika kama zawadi kwa mashabiki wake katika onesho kubwa la muziki kes… Read More
  • Wagombea Rasmi wa Urais ni 8 Tu, Wengine wakatwa Hatimaye katika vyama 12 vilivyochukua fomu za kugombea urais, ni vyama 8 tu ambavyo wagombea wake wamekidhi vigezo vya kugombea urais mwaka huu Tanzania. Vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, TLD, ADC, CHAUMA, ACT- WAZALENDO, NRA na… Read More
  • TANESCO Morogoro yakamata watu watano kwa tuhuma za wizi wa umeme Shirika la ugavi wa umeme Tanesco mkoa wa Morogoro limefanya oparation na kuwawakamata watu wanne waliojiunganishia umeme kinyume na sheria katika eneo la Dumila wilaya ya kilosa zikiwemo nyumba za kuishi, kumbi za … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE