Kocha mmoja wa Rwanda
Rwanda imeteuliwa kuwa mwenye wa
fainali za kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFGA
Challenge Cup, Novemba mwaka huu.
Katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye amethibitisha uamuzi huo.
Rwanda
inatazamia kutumia fainali hiyo kujiandaa kwa michuano ya fainali za
kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanashiriki ligi ya nyumbani,
maarufu kama CHAN.
Fainali hizo za CHAN, ndio ya pili kwa ukumbwa
barani na hushirikisha wachezaji chipikizi wanaocheza ligi mbali mbali
nchini mwao.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment