Wasanii watoa wito wa uhuru wa ubunifu na kujieleza
Waandishi,wasanii
na watengezaji wa filamu waanzisha kampeni za kutaka uhuru zaidi wa
ubunifu na kujieleza katika kazi zao za kisanii.
Kampeni hizo zilianza baada ya mwandishi wa vitabu kukamatwa kwa kukiuka sheria z…Read More
Mgombea urais FIFA ajitoaMfanyabiashara wa Afrika ya Kusini, Tokyo Sexwale, amejitoa kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) muda mchache kabla ya duru ya kwanza ya uchaguzi mjini Zurich, Uswisi.
…Read More
Apple yagoma kufungua iPhone ya mshukiwa wa ugaidi
Kampuni ya Apple imepinga agizo la mahakama la kuitaka kusaidiana na FBI katika uchunguzi wa washukiwa wa ugaidi.
Apple imemtaka jaji Sheri Pym wa mahakama ya California kufutilia mbali agizo hilo lililotolewa Febru…Read More
Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili hii
-
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Amani
Golugwa, amesema chake, kitaanza...
The post Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment