Unaambiwa kwamba mchujo umefanyika ambapo
baada ya kufanyika hesabu ya kura zilizopigwa na watu haya ndio majina
yaliyofanikiwa kuingia kwenye TOP 3 kwenye kila category.
Nimekuwekea hapa tayari mtu wa nguvu ili
kama na wewe una mtu wako ungependa ashinde unaweza kuendelea kumpigia
kura kwa utaratibu uleule ambao uko mwisho wa post hii.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment