List kamili ya washindi wa Tuzo za Grammy 2015
Usiku wa kuamkia leo hii 9/01/2015 zimefanyika tuzo za 57 za Grammy
ambapo mwanamziki Sam Smith amewagaragaza wengine wote baada ya kuondoka
na tuzo nne ikiwemo Record of the Year, Song of
the Year, B…Read More
Boko Haram yawaonya majeshi ya muungano
Kinara mkuu wa kundi la wapiganaji
wa kiislamu la Boko Haram, Abubakar Shekau, ameapa kwenye mkanda wa
video mapema Jumatatu kuwa, kundi hilo litashinda majeshi ya muungano
mwa kanda hiyo yanayopania kukabilian…Read More
Ajira toka Clouds fm hii hapa sasa
Baada ya Meneja Rasilimali Watu wa Clouds Bw Kitoi, kuipa likizo Idara ya Muziki kwa siku kadhaa, sasa ni muda wako wewe mdau wa Clouds Fm kula shavu la nguvu kwa kutuma PLYLIST yako kali ya nyimbo 15 za #…Read More
Ally Kiba, Chriss Brown mambo safi, sasa kufanya kazi pamoja
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris
Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii
kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kam…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment