July 07, 2015

MDONII
Naseeb Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz ambae ni zao kutoka hapa Tanzania jana katika kipindi cha xxl ya Clouds fm alifunguka kila kitu kinacho muhusu yeye.
MONDIII
Pia msanii huyu amechaguliwa kuwania Tuzo za mtv mama zitakazo fanyika wiki hii nchini South Africa.Na baada ya hapo kuna Tuzo nyingine pia amechaguliwa kuwania nchini Uganda.
              

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE