July 07, 2015

Msanii alieshinda tunzo ya msanii anaechipukia mwaka 2014/2015 Barakah da’ Prince baada ya hit song Siachani nawe ameamua kurudi na mzigo mwingine akiwa na mwana dada Rubby ambae pia ni tisho katika game kwa sasa.
AhoBIY_ncIR2zPITh6BnbFGBD_M7dcCtMklQ9MyygZBV (1)
Sasa kesho Barakah da’ prince pamoja na Rubby wataachia ngoma yao mpya iitwayo Nivumilie,lakini bado haijafahamika ni wameshirikiana au ni project ya pamoja.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE