Kwenye
hiyo chati wiki hii number mbili imeshikwa na single ya Bobo ya Alamide,
ya tatu ‘Fans Mi ya Davido ft Meek Mill na ya nne ni The Bagger ya
Runtown ft Uhuru na ya tano ni Talking Over ya Yemi Alade ft Phyno.
Mpaka sasa ‘Nana’ kupitia mtandao wa Youtube kwenye channel ya Diamond Platnumz video hiyo imetazamwa kwa zaidi ya mara milioni 2 ambapo mpaka saa sita usiku July 2, 2015 2014 ni watu 15,276 walikua wameipenda kwa kulike huku watu waliodislike ni 1847.
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha video
ya Diamond Platnumz ft Mr Flavour ‘Nana’ ikiwa imeshika No.1 kwenye Top
10 ya Afrika kupitia kituo cha kimataifa chenye huduma ya kulipia Trace TV.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment