Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa
15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro jana Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake
Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu
Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini
Kinole mkoani Morogoro jana Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na
hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Mama Salma Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi
mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15
baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro jana Alhamisi
Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu
Chifu Kingalu wa 14.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole na pia kumpongeza
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa
15 (kushoto) baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro jana Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka
yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Kiongozi mpya wa
kabila la Warugulu wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya
kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 2,
2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu
Kingalu wa 14.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment