Lowassa na Kikwete
Waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mbunge wa monduli Mh: Edward lowassa ametoa salam nyingi za pongezi kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kwa utendaji wake wa kazi. Mh:Lowassa ameandika ayo katika ukurasa wake rasmi wa Facebook mara baada ya kuenguliwa kuwa mgombeakatika kinyang'anyiro cha urais
"Napenda
kumpongeza Rais Jakaya Kikwete na serikali yake kwa mafanikio makubwa
katika kipindi chake cha uongozi. Binafsi pia namshukuru Rais Kikwete
kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa serikali yake
kwa kipindi cha miaka miwili. Serikali hii ya awamu ya nne imefanikiwa
kufanya mambo mengi makubwa ya kujivunia na kwa hakika ni matarajio ya
watanzania kwamba serikali ijayo itaendeleza mafanikio na juhudi za Rais
Kikwete katika kumaliza tatizo la umaskini kwa watanzania"
0 MAONI YAKO:
Post a Comment