Baba na mama wa marehemu Frank Sanga wakiweka shada
Mwakilishi wa Clouds media Daudi wa kota na mwakilishi wa wadau wa media Stanley Chinyuli wakiweka shada
Dada wa marehemu Frank, Esther Sanaga akiweka shada
Maaskofu wakiongoza misa ya mazishi
Mtangazaji toka Planet Fm Zombi mwenye begi akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu
Baba mzazi wa Marehemu akiwa na sura ya uzuni
waombolezaji wakiwa wamebeba sanduku lenye mwili wa marehemu kuelekea makabulini kwa mazishi
Mwakilishi wa Clouds Media Daudi wa kota akitoa salam za rambirambi toka Clouds
Mwakilishi wa Planet Fm akitoa salam za rambirambi toka Planet
0 MAONI YAKO:
Post a Comment