
Mwanamuziki wa hip Hop toka mkoani Morogro na ht maker wa wimbo wa Mperampera Mas J, ameamua kutembeza bakuri kwa wadau wa mziki akiwaomba wamchangie katika kufanikisha Video yake mpya. Akiandika katika ukurasa wake wa facebook na kuthibitisha Mas J amesema ameamua kufanya maamuzi hayo baada ya mambo kuwa magumu kw aupande wake.
Mas J ambaye pia hivi karibuni aliachia wimbo mpya unaoitwa Kura yangu amesema Video anayotaka kiutoa hivi karibuni ni wimbo ambao amefanya na mwana hip Hop mwenzie toka jijini Dar es Salaam Darassa.
Mash J ameandika haya
Kama umeguswa na hili kwa mwana harakati huyu basi ungana naye kwa kumchangia japo kidogo ulichojaaliwa.
Namba ni 0712974079(Tigo pesa)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment