Mbunge wa Viti Maalumu wa CCM aliyehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ester Bulaya akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani Mjini Bunda mkoani Mara.
Umati wa wananchi wa Mji wa Bunda na viunga vyake, wakiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Stendi ya zamani ya mabasi mjini Bunda jana, uliohutubiwa pia na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya na mwenzake wa Kahama, James Lembeli waliotoka CCM na kuhamia Chadema.
Mbunge wa Kahama mkoani Shinyanga, James Lembeli aliyehama kutoka CCM na kujiunga Chadema, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani ya mabasi Mjini Bunda
Maofisa wa Chadema wazuiliwa kisafiri, Polisi wasema
-
BRENDA Rupia Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema),...
10 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment