Baada ya Wema Sepetu kushindwa katika uchaguzi wa viti maalumu mkoani
Singida Meneja wake ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter…
“Haikuwa vile tulivyotarajia… Hongera Aysharose Mattembe”.
martin kadinda @martinsurvivor
Haikuwa vile tulivyotarajia… Hongera Aysharose Mattembe
0 MAONI YAKO:
Post a Comment