Wasanii watanzania waendelea kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania
kupitia Muziki, Huku akiwa amechaliwa katika Tuzo za AFRIMMA , Ommy
Dimpoz anaendelea kufanya vizuri kimatifa Baada ya nyimbo yake ya
Wanjera kushika namba moja katika Kituo cha Televishen cha Sound Citytv
kilichopo nchini Nigeria.Katika Mtandao wa Instagram Ommy Dimpoz ameandika “Big S/O to
SoundCityTv We are no 1 this week & please Let’s keep Voting for
@afrimma Awards #BestNewComer link iko kwa Bio yangu
🏼
🏼”.
July 25, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment