Wajumbe wa mkutano mkuu wa tatu wa IPC wa uchaguzi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka wanachama waliotangulia mbele ya haki ambao ni aliyekuwa mwenyekti Daudi Mwangosi, Mweka Hazina Vick Macha na mjumbe wa kamati tendaji Mzee Fulgence Malangalila uliyofanyika Ukumbi wa Lutheran Center mjini Iringa.
Wajumbe wa mkutano wa tatu wa IPC wakifuatilia mkutano.
 
 
 
 
 
 
 
Mwenyekiti wa IPC, Frank Leonard akifungua mkutano mkuu wa tatu leo katika Ukumbi wa Lutheran Centre mjini Iringa. Kushoto ni Mweka Hazina Msaidizi Janeth Matondo na Katibu Ktendaji Francis Godwin
Mjumbe wa kamati tendaji Tukuswiga Mwaisumbe akiwasilisha taarifa ya IPC VICOBA.