July 15, 2015

nay video 
Mwanmuziki nguli wa bongo flva Tanzania Nay wamitego, leo hii ametuletea video ya wimbo wake mpya wa Sina Muda. Mitazamo ya Nay imekwenda tofauti kabisa na wadau wake na mashabiki kwani wengi walitaraji kuona video ya Mapenzi au Pesa ndiyo ingetoka hivi karibuni
Tazama hapa chini
              

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE