Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari
leo katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam, kutokana na
Askari wa Jeshi la Polisi na raia wa eneo hilo kuuwawa na majambazi
waliovamia katika kituo hicho usiku wa kuamkia leo.
Viongozi
wa Jeshi la Polisi nchini wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
Ernest Mangu, wakitembelea maeneo mbalimbali ambayo majambazi
walidhuru, katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam leo.




0 MAONI YAKO:
Post a Comment