Hii ni taarifa mpya kutoka kwa msanii wa muziki na filamu hapa tanzania maarufu kwa jina la Hamis Baba a.k.a H Baba ambaye anategemea kusakata kabumbu kwenye Ligi kuu bara msimu ujao katika timu ya Toto African.
Akipiga story na mwandishi wetu leo masaa machache yaliyo pita H Baba amesema kuwa
” Mwaka huu nategemea kusakata kabumbu kwenye Ligi kuu bara katika
Timu ya Toto African, pia kwa mashabiki wangu wa muziki na Filamu ligi
itakapoanza nitaachia Filamu mpya ambayo nimecheza na Mimi, mkewangu Flora Mvungi mtoto wangu Tanzanite na ngoma mpya inayoitwa Pilipili kichaa, Washawasha”
0 MAONI YAKO:
Post a Comment