August 20, 2015

Chama cha Upinzani cha ACT-Wazalendo kupitia Prof. Kitila Mkumbo kimemtangaza Mwenyekiti wake Mama Anna Elisha Mghwira kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya chama hicho katika mkutano mkuu uliofanyika Jana , huku mgombea mwenza akiwa ni Hamad Mussa Yusuph, mzawa wa Visiwani Zanzibar.

ACT-Wazalendo kinakuwa ni chama cha kwanza nchini Tanzania kusimamisha mgombea urais mwanamke katika uchaguzi wa maana huu na ni chama cha pili nchini kusimamisha wagombea ubunge katika majimbo mengi nchini ikiongozwa na CCM.


Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE