MACHAKU MEDIA
facebook tweeter google linked in you tube rss

MACHAKU MEDIA TUNAKUKARIBISHA HAPA KWA MATANGAZO.

TUMEKUKUTANISHA NA GAVAO LODGE.

KAMA UNAPENDA MOUVE HII NDIYO SEHEMU YAKO.

First slide Next

August 23, 2015

  • 8:59 AM
  • Machaku
  • No comments

Mgombea Ubunge CHADEMA) arejea rasmi CCM

Name:  Nkumbaa.png
Views: 5230
Size:  440.9 KB 

Mgombea ubunge wa Sikonge kupitia CHADEMA amerejea CCM leo ktk viwanja vya Jangwani DSM.

Kumbuka Nkumba alijiunga na CHADEMA baada ya kushindwa kwenye kura za maoni CCM. Alipewa kuipeperusha bendera ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa mkuu Oktoba 25.Wanaachama wa CHADEMA waliandamana kupinga uteuzi huo wakidai kuwa kuna wanachama wamekijenga chama kwa muda mrefu, wakahoji iweje ateuliwe mwanachama ambaye hana hata wiki kwenye chama.

 Lakinitaarifa tulizopewa ni kwamba UKAWA hawajapoteza jimbo kwani baada ya maandamano kumpinga, mshindi wa kwanza wa kura za maoni alirudishwa na ndo anayegombea kwa tiket ya CHADEMA.

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
← Newer Post Older Post → Home

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • ALICHOANDIKA DIAMOND BAADA YA MSIBA WA BABA YAKE WEMA SEPETU
  • TAZAMA DJ FETTY AKITOA BURUDANI NDANI YA AMBASSADOR LOUNGE AKISINDIKIZWA NA MULLY B NA DJ ZERO
                                                                         Dj Fetty                                                   ...

WADAU

BLOG ZINGINE

  • MALUNDE 1 BLOG
    KATIBU MKUU MASWI AIPONGEZA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI USIMAMIZI WA MASHAURI - Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakimu Maswi akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Uthibiti Ubora wa Ofisi...
    1 hour ago
  • MwanaHALISI Online
    Shinda mamilioni na Meridianbet kwenye Lucky Rush Tournament - Meridianbet imekuletea Lucky Rush Tournament kutoka Playtech, promosheni ya kusisimua inayokupa nafasi ya kushinda sehemu...
    3 hours ago
  • Bongo Blogs - Blog ya Taifa
    Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com
    4 months ago
  • Mbeya City Council FC
    37岁姚笛沉寂六年高调复出,短发造型撞款马伊琍,这次真的没有输 - 37岁姚笛沉寂六年高调复出,短发造型撞款马伊琍,这次真的没有输近期姚笛为杂志拍摄的一组大片曝光后,将这么在影视圈沉寂六年的大眼美人又推上了新闻热点。姚笛受当年事情的影响,在红极一时的大女主时期被雪藏。...
    5 years ago
  • UBUYU
    Taarifa Ya Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Hali Ya Uchumi Na Utekelezaji Wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2017/18 - *­­­* *UTANGULIZI* Nashukuru sana kupata fursa nyingine ya kuzungumza nanyi leo tunapokaribia mwisho wa mwaka 2017. Lengo la Serikali ni kuwapatia Watanza...
    7 years ago
  • Hassbaby's (Mapacha)
    Amber Lulu Ft Country Boy - Watakoma |Download Mp3 - Amber Lulu Ft Country Boy - Watakoma |Download Mp3
    8 years ago
  • Dr Isaac Maro
    Comment Déverrouiller (“désimlocker”) El IPhone Assistance - Tout d’abord, j’ai besoin de corriger un erreur concernant le produit Gevey ultra S SIMA una dernière weblog j’ai ditgene que writer numéro d’urgent 112 ...
    8 years ago
Copyright © MACHAKU MEDIA
DESIGN BY DISMAS TEN | O713216125