Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Felix Tibenda (pili kushoto)
akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker kwa uzinduzi wa
NMB Mastercard kwa Mkoa wa Arusha na Kanda nzima ya
Kaskazini.Wakishuhudia Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini Bw.Salie
Mlay(kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Bw.Abdulmajid Nsekela
.…
SPIKA ZUNGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA EU
-
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu,
amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa
Umo...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment