Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA na muungano wa vyama vinavyodai katiba ya wananchi UKAWA Ndugu Edward Lowasa mapema leo asubuhi alipanda daladala za Gongolamboto jijini Dar Es Salaam kusikiliza matatizo ya wakzi hao.
Tukio hili ni la aina yake ambalo halijawahi kutokea kwa mgombea urais kufanya hivi. Wananchi mbalimbali waliupongeza uamuzi huo wa Lowassa wa kujiweka karibu zaidi na watu huku wakimtaka uwe endelevu ili kuwafikia wananchi wa hali ya chini kabisa na kujua yanayowakabili


0 MAONI YAKO:
Post a Comment