Taarifa zilizotufikia hivi punde ambazo siyo rasmi ni kwamba Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Adam Kimbisa,
aachia ngazi. Amedai kuwa anataka kumpumzika siasa ila wadadisi wa mambo
wanasema ni maandalizi ya kuja UKAWA.
Wanaougua UKIMWI sasa kuwekwa alama
Serikali
ya Afrika Kusini yapitisha sheria itakayowaruhusu madaktari kuweka
tattoo katika maeneo ya sehemu zao za siri kwa watu walio na virusi vya
UKIMWI.
Rais Jacob Zuma alitia saini muswada huo na kuonekana kuwa…Read More
Kurasa za Magazeti ya leo jumapili 26 June 2016
Habari mpenzi msomaji. Karibu katika kurasa za magazetini leo hii 26 June 2016.Tumekukusanyioa vichwa vya Habari katika magazeti ya leo. Ili kusoma kiundani fika katika meza za Magazeti ili u…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment