Hatimaye katika vyama 12 vilivyochukua fomu za kugombea urais, ni vyama 8 tu ambavyo wagombea wake wamekidhi vigezo vya kugombea urais mwaka huu Tanzania. Vyama hivyo ni
CCM, CHADEMA, TLD, ADC, CHAUMA, ACT- WAZALENDO, NRA na UPDP.
Wagombea hao 8 na vyama vyao ni
1. John Magufuli (CCM)
2. Edward Lowassa (CHADEMA)
2. Anna Mghwira (ACT)
4. Fahmi Dovutwa (UPDP)
5. Chifu Lutalosa Yemba (ADC)
6. Janken Kasambala (NRA)
7. Hashim Rungwe (CHAUMA)
8. macmillan lyimo (TLP)
Wagombea wa vyama vitatu hawajakidhi vigezo vya kugombea urais wa Tanzania, vyama hivyo ni CCK, DP , TADEA.. Chama cha AFP chenyewe hakijafika kabisa katika ofisi za NEC kuleta fomu zake.
LINDI YAJIVUNIA MCHANGO WA NGO's KATIKA MAENDELEO
-
Na. WMJJWM-LINDI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amesema Serikali inatambua mchango
wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika kuleta maendeleo kw...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment