Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha XXL
cha Clouds FM,Fatma Hassan ‘Dj Fetty’ leo amewaaga rasmi wasikilizaji na
wafanyakazi wenzake na kuachana na kazi ya utangazaji na kufanya
shughuli zake za kibiashara.
Watangazaji wa XXL B12,Adam Mchomvu,Dj
Zero na Kenned ambaye amejiunga kwenye familia ya XXL na Clouds FM na
amechukua nafasi ya Dj Fetty.
Fetty
ametangaza rasmi leo Novembar 15 kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa
na Kituo hicho pendwa nchini ambacho fetty pia alikuwa ni miungoni mwa
timu ya kipindi hicho
‘Kenned The Remmedy’ ambaye amejiunga na familia ya XXL akiwa na Adam Mchomvu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment