
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demekrasia na Maendeleo CHADEMA MH: Edward Lowassa leo amefanya mkutano wake wa kwanza wa Kampeni ndani ya jimbo la Morogoro Mjini.
Katika mkutani huwo Mh: Lowassa ameyazungumzia malengo yake ya eyey kuwania nafasi hiyo ikiwa ni pamoja na kuondoa tatizo la ajira linalolikabili taifa.
Moja ya bango walilokuwa nalo wafuasi wa UKAWA
Sehemu ya wafuasi wa Ukawa wakiwa na picha ya jeneza
0 MAONI YAKO:
Post a Comment