Mwana muziki mwenye kipaji cha kukidhi haja toka nchini Tanzania King Kapita, amekuletea tena ngoma yake mpya kabisa aliyomshirikisha Cannibal Shaitta toka nchini Kenya wimbo unaitwa vizabizabina, wimbo ambao umefanywa na producer Johnn B na Kanyeria wa GrandMaster. Kimya cha King kapita kilisababishwa na ubize wake wa masomo nchini Afrika Kusini
Mini Power Roulette ni ushindi
-
Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu
Zaidi, kupitia sloti...
The post Mini Power Roulette ni ushindi first appeared ...
57 minutes ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment